MAPENZI NI NINI? 1. Hivi neno mapenzi, maana yake nini, kwasababu ni la enzi, ila simka badani, Imekua ka mkwezi, haliachwi maishani, Mapenzi hasa ni nini, naomba jibu yakini. 2. Mapenzi hasa nini, naomba jibu yakini, Nje ndani yamkini, yaumiza mioyoni, sijui nfanye nini, kumpata mtimani, Yanawaliza mabosi, majemedari wakuu. 3. Yanawaliza mabosi, majemedari wakuu, Wengine wanayafosi, kuyatafuta makuu, wanafanya kwa kuasi, harimu...
11....kama kawa tujuavyo, kuna masikabila mvua, pia zasaidiapo, biasharakuzijua, wengi wapata kipato, wengi tumeshuhudia, simu zatusaidia, Sisi ndo twaziharibu, ....12....Wasiliano rahisisha, nje na ndani pia, umoja zimedumisha, wote kuwa familia, mengi imebainisha, mazuri mabaya pia, sisi ndo twaziharibu, simu zatusaidia. . . . 13. . . . Nukuu twazitafuta, ziloandikwa kwa kina, Dalihini kuzipata, mengi yameambatana, walimu kuzifumbata, zote kuzishikamana, simu zatusaidia, Sisi ndo twaziharibu, . , 14. ..Zapunguza pia muda, wa kuanza tafutana, diradira za ukuda, zapungua kwa sana, Hakuna muda poteza, wafanya mambo mengine, sisi ndo twaziharibu, simu zatusaidia, . ...15. ..Hakuna wa kubabaka, ukweli wajulikana, japo wametuletea, ila zinatupumbaza, mzazi simpe mwana, ukaona wampenda, Hapo unampoteza, bila mwnywe kujua, ....KWA LEO NAOMBA NIISHIE HAPA NAENDELEA KUWAKARIBISHA USHAURI, MAONI NAHITAJI