Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa MwenyeziMungu, lakini pia na kwa wadau wangu wote, ambao wananishauri, na kunipa maoni, kwanza kabisa napenda kuongelea suala la matumizi ya mitandao ya kijamii, limekua tatizo kivipi? naomba tuungane kwa kusoma shairi lifuatalo tuburudike, lakini pia tupate ujumbe kwasababu kama halikugusi wewe moja kwa moja linamgusa ndugu yako au mtu wako wa karibu. ....tuimbe pamoja,,,,1...Whatsup, Facebook, Twitter, insta na napchat, mlahaka vilipata, ghafla ikawa dabali, bila hata ya kusota, wengi walivikumbata, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ..2..Ilianza taratibu, hii teknolojia, dahari ikaharibu, kuja smatifonika, watu wawa kama duku, wawapo mitandaoni, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ...3...zauzwa fulusi ndogo, kila moja amiliki, hata watoto wadogo, zawatia daathari, wanapita kwa mikogo, wazishikapo kwa ari, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ..4...wanafunzi shindwa soma, wabaki kuwa madusa,akili zao zahama,simu zawagusa gusa, wawapo shule wakoma, kuja nazo waogopa, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ..5..watumia fulusi nyingi, mashule ili kuzigaramia, vishawishi waingia, kuyatafuta mapene,tena wengi waumia, kuzifanya ziwe choza, simu isikutawale, wewe ndo uitawale,.....KWA LEO NAOMBA NIISHIE HAPA ILA USIKOSE MUENDELEZO WA SHAIRI HILI, NA WAATHIRIKA WAKUBWA WA HII MITANDAO NI WANAWAKE, KWASABABU PICHA ZA UTUPU WAO NDO WANAPIGA YAANI WANAWAKE WENZANGU TUNATAKIWA TUJITAMBUE SANAAA A , TUMEKUA KAMA HATUMJUI MUNGU KABISA, USIKOSE MUENDELEZO WA SHAIRI UONE MITANDAO INAVOTUPELEKESHA, hizi ni quotes zurii za kuhamasisha,"""In the end, it's not going to matter how many breaths you took, but how many moments took your breath away, """""""""all life is an experiment, the more experiments, you make the better. ."""""usikose muendelezo wa shairi hili , pia usisahau kutupia coment yako
SHAIRI HILI NI ZURI SANA LINAONGELEA WAZAZI WA KIDIGITALI NA MALEZI /MAKUZI YA WATOTO, WAZAZI WA SIKU HIZI WAMEJISAHAU SANA KWENYE MALEZI YA WATOTO HII NI HATARI KWA MENGINE TUUNGANE KATIKA SHAIRI HILI, KARIBUNI SANA, ..."""""MTOTO NA MAMA AU BABA WA KIDIGITALI """""1....Mambo yamebadilika,wazazi zama na sasa, Malezi kughafilika, watoto shindwa kuasa, maovu yamefurika, umetuzidi usasa, baba, mama, digitali, mtoto atakuaje? 2....Mama nyonyesha hataki, falaula angejua,Kuja kutahamalaki, mtoto asiyekua, anamkosesha haki, mengine kuyatambua, Mtoto atakuaje? Baba, mama, digitali, ...3....Mtandaoni warusha, sherehe kubwa wafanya, lakini kumnyonyesha, kitu wasichokifanya, mapenzi yasiyokwisha, toto aweze kunyonya,baba, mama, digitali, mtoto atakuaje? 4.....Imani zimewatoka, nguo za wavaa, wajifanya mababaka,elewi yalowajaa, kila siku wanaruka,uzungu usowafaa, mtoto atakuaje? Baba, mama, digital, ..5...Malezi kitu muhimu, msifanye marinara, tuy...
Comments
Post a Comment