MAPENZI NI NINI? 1. Hivi neno mapenzi, maana yake nini, kwasababu ni la enzi, ila simka badani, Imekua ka mkwezi, haliachwi maishani, Mapenzi hasa ni nini, naomba jibu yakini. 2. Mapenzi hasa nini, naomba jibu yakini, Nje ndani yamkini, yaumiza mioyoni, sijui nfanye nini, kumpata mtimani, Yanawaliza mabosi, majemedari wakuu. 3. Yanawaliza mabosi, majemedari wakuu, Wengine wanayafosi, kuyatafuta makuu, wanafanya kwa kuasi, harimu waliojuu, 4.yawachachafya watu, bila ya kujali vyeo, Yanapoteza na utu, kwa hadhi hata kwa cheo, Siyataki katukatu, kidonda kilicho moro, Yalimtesa na babu, bibi,kitukuu, kirembwe 5. Yalimtesa na babu, bibi kituku, kirembwe Wengi yanawaadhibu, japo nje yana bwebwe , Mengi nikiyadhukuru, walahi sitaki bwere, Twende mbele, twende nyuma, hii raha karah
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa MwenyeziMungu, lakini pia na kwa wadau wangu wote, ambao wananishauri, na kunipa maoni, kwanza kabisa napenda kuongelea suala la matumizi ya mitandao ya kijamii, limekua tatizo kivipi? naomba tuungane kwa kusoma shairi lifuatalo tuburudike, lakini pia tupate ujumbe kwasababu kama halikugusi wewe moja kwa moja linamgusa ndugu yako au mtu wako wa karibu. ....tuimbe pamoja,,,,1...Whatsup, Facebook, Twitter, insta na napchat, mlahaka vilipata, ghafla ikawa dabali, bila hata ya kusota, wengi walivikumbata, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ..2..Ilianza taratibu, hii teknolojia, dahari ikaharibu, kuja smatifonika, watu wawa kama duku, wawapo mitandaoni, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ...3...zauzwa fulusi ndogo, kila moja amiliki, hata watoto wadogo, zawatia daathari, wanapita kwa mikogo, wazishikapo kwa ari, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ..4...wanafunzi shindwa soma, wabaki kuwa madusa,akili zao zahama,simu zawagusa gusa, wawapo shule ...
Comments
Post a Comment