HILI NI SHAIRI ZURI SANA KUHUSIAN A NA WATU MUHIMU SANA KATIKA ULIMWENGU WOWOTE ULE, KARIBUNI TUIMBE KWA PAMOJA, 1...TUWAPENDE NA KUWAJALI WALIMU WETU, 1....Honge hongera walimu, kwa kazi mnayofanya, mmeishika hatamu, abadi na siku zote, babatana kuheshimu, baitika hawataki,ualimu ni adhama, apewa kama adia, ...2...japo wanaudharau, walimu fanya adili, wengi wanausahau,lakini tafika dali, watoto wapanda dau, kukua zao akili, ualimu ni adhama, apewa kama adia. ..3....walioko vijijini, hawa watu abtali, wakuta na vizuizi, mazingira kukabili, vigezo haviwakizi,lakini kazi jalili, ualimu ni adhama, apewa kama adia, 4....mwalimu wai kijijini tofauti na mjini, shule mbali na nyumbani, watembea dahilini, wasipokua makini ,wengi waishia kati, ualimu ni adhama, apewa kama adia, 5...watembea mita nyingi, mashule kuyafikia, wakutana na vigingi, m, waibaaisha kuyatafuta, baadhi ya wananchi,waiba vilotafutwa, ualimu ni adhama, apewa kama adia, 6....shule hazina ofisi,zinazokidhi vigezo, tunafanya kwa kufosi, mambo yaenda kwa tuzo, inakua ka mkosi, mambo yaende kwa wezo, ualimu ni adhama, apewa kama adia. .....
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa MwenyeziMungu, lakini pia na kwa wadau wangu wote, ambao wananishauri, na kunipa maoni, kwanza kabisa napenda kuongelea suala la matumizi ya mitandao ya kijamii, limekua tatizo kivipi? naomba tuungane kwa kusoma shairi lifuatalo tuburudike, lakini pia tupate ujumbe kwasababu kama halikugusi wewe moja kwa moja linamgusa ndugu yako au mtu wako wa karibu. ....tuimbe pamoja,,,,1...Whatsup, Facebook, Twitter, insta na napchat, mlahaka vilipata, ghafla ikawa dabali, bila hata ya kusota, wengi walivikumbata, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ..2..Ilianza taratibu, hii teknolojia, dahari ikaharibu, kuja smatifonika, watu wawa kama duku, wawapo mitandaoni, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ...3...zauzwa fulusi ndogo, kila moja amiliki, hata watoto wadogo, zawatia daathari, wanapita kwa mikogo, wazishikapo kwa ari, simu isikutawale, wewe ndo uitawale, ..4...wanafunzi shindwa soma, wabaki kuwa madusa,akili zao zahama,simu zawagusa gusa, wawapo shule ...
Comments
Post a Comment